Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,256
- 49,189
Hahha tutasoma kwenye wasifu wa marehemu pia[emoji1]Yaani siku nikifa hapa JF itakuwa tu jamaa alikuwa anapenda mayutongs hatari sasa kafa kayaacha. Sijui nitawezaje kuachana na sifa hii. Kazi ninayo kwa kweli [emoji20]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app