Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Happiest birthday ex shemeji
Happiest birthday ex shemeji
Muongo tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Nini sasa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mremboooooh.Japo picha zako mchoyo
View attachment 2216343
Unakimbia ili usitume... vibaya hivooLabda kesho. Ngoja nilale angalau 4 hrs. Kukicha lazima kanisani. Be blessed wanaselfika [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mbna kimya, au mambo yako nikuachie mwenyewe?Shimba Ya Buyenze ... tunahamu na selfii yako mkuu tuonee imani jamani!
✌️✌️ UmependezaJapo picha zako mchoyo
View attachment 2216343
Nimekumbuka kuna kipindi nilikwenda Makete; kwa lile baridi niliona Mbeya huwa tunatania kusema kuna baridi. Basi nikarudi zangu Uyole; nikawa nahitaji kitu town one time, nikasema ngoja tu nivae kishifoni hiki, so far kuna kajua na ninakwenda tu na kugeuza chaap. Jamani Ile nimerudi home, kilianza kikohozi hicho; nilikohoa hadi nikahisi nitakohoa na moyo sasa. Sikurudia huo usleikwiniWacha yaan ni hatar. Siku sio nyingi nawakimbia.
Mbna kimya, au mambo yako nikuachie mwenyewe?
Happy SundayJapo picha zako mchoyo
View attachment 2216343
Auntie Junia kichwa kilinikalisha hiki[emoji23]Naona mlikuwa mnalinda Uzi usiibiwe [emoji23][emoji23]mlilala lkn nduguzangu
Saint Anne Mama Junia wew ni wa kukesha kweli[emoji16]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sijaona selfie zako kitambo, fanya mpango basi eeehMremboooooh.
Mama mchungaji mimi siyo mchoyo😔Sanaaa. Tutamkomesha lakini😂😂😂
Hebu tuma fasta bhanaa. Lol.lol nilisahau shos mambo mengi huku ngoja nitume kabla sijatingwa
Happy Sunday to you too dearHappy Sunday
Hahahahah wee subir hapa hapa.Sijaona selfie zako kitambo, fanya mpango basi eeeh
Maneno huwa ni fimbo nzuri.Binafs kwa huku nakoishi wapo lkn nisiseme uongo sijawahi chunguza sabbu ni ipi huenda wanawake wakawa ni sabbu
Lkn pia haimfanyi umpige had azimie kunanamna nyingi za kurekebishana..
Mapenz yamekuwa hayana mvuto na kikubwa heshima hakuna kwa pande zote hakuna heshima kwa mwanaume kwa mwanamkewake na mwanamke Hana heshima kwa mwanaume wake
Hakunatena kukosoana kwa adabu hakuna usiri hakuna kusikilizana Wala kubembelezana
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kweli jamani. Unapenda Wax?Muongo tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]