Usipoteage sana basi.Nineoenda story za humu za kujenga.
Happy Sunday guys!
Ibada ya leo nimekosa, nilikuwa na majukumu ya kitaifa mamaa pastaaa 🙏🙏🙏Muinjilisti hujaingia ibadani Leo?
Ila mdogo angu; Mkono wa BWANA usikupungukie, Mungu akadhihirishe ukuu wake kupitia wewe. What a purposeful life.
Sasa ndiyo nimeelewa; new beginning indeed.
Pazia nzuri😍Nataka nikafue msichana wangu 🤣View attachment 2216449
😂😂😂😂Pazia nzuri😍
Una nyingine za kubadili lakini, au ndio zisipokauka unalala madirisha wazi🤣🤣
Siwezi potea hata kidogo, hapa ndio maskani yetu.Usipoteage sana basi.
Happy Sunday rafiki.
Vijana wa Chuga mnaniharibu🤣🤣🤣😂😂😂😂
Kwani ni lini umeanza kuvuta bangi?
Nishabadili bana 🤣🤣
HeeNajua Unatania!
Hutaki kabisa utani hapo godauni😃Nataka nikafue msichana wangu 🤣View attachment 2216449
Kagodauni kako kanaeleweka mdogo wetuHizo 🤦♀️ Lenie View attachment 2216480
Kagodauni kazuriHizo 🤦♀️ Lenie View attachment 2216480
Smart lady, ndio maana nakupendaga eti😍😍Hizo 🤦♀️ Lenie View attachment 2216480
Sasa ntakuwa nafanya nini?Shwain
Nimecheka kwa nguvu 🤣🤣🙈Kagodauni kazuri
Niambie basi niweke simu huko nikafue 🤣Smart lady, ndio maana nakupendaga eti😍😍
Thanks mchumbaHbd mchumba
Thank youHappy Birthday To You![]()
Inauzwa bei Gani?Duh nilisahau nunua moisturizer contioner ya mega au Cantu ni nzuri uwe unapaka kabla ya kuchana utazipenda nywlezako
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
😂😂 emu kafue huko ndio uje kuchatHutaki kabisa utani hapo godauni😃