Marhaba kijanawangu

Kunawanaume hawana sabbu za kupiga mwanamke ni kuonyesha tu ubabe alionao
Nakumbuka miaka ya nyuma nilipigwa kibao

Alikuwa mwanaumewangu wa kwanza nilipenda kufa Yan huniambii kitu tulikuwa na kutokuelewana km mwez hivi
Nikaenda kumuomba tuzungumze yeye anatak kuondoka na ni km saambili hafanyi kazi za usiku huenda anawahi hamna analazimisha kutoka alafu simuyake inaita mno nikachomoa funguo mlangoni nikamwambia nipe dkka tano then mm pia nilikuwa nawah home
Akanipiga kibao aisee sikuongea na ndo tuliachana hapo kumbe ilikuwa jeuri ya kupendwa bhna akajua nitarudi ndo mazima kibao kilivunja penzi

Hadi leo ukimuuliza sabbu ya kunipiga kibao Hana na anajutia mno alikuwa na kadada kanamchanganya mm nilikuwa student upande ule
Ndo ya kwanza na ya mwisho kwenye maishayng alafu sijakutana nao wapigaji jaoo pia kunipiga inataka rohongumu huwez pata sabbu ya kunirushia ngumi
Sent from my Infinix X650B using
JamiiForums mobile app