Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bahati mnazipiga teke

Halafu mambo yakiwa si mambo

Mnafungua siredi mnataka yoyote

Bora anapumua
Ninasabbu za msingi ambazo nafikir zitanifanya niishi kwa amani nijizirekebisha kabla sijakubali kukaa na mtoto wa mkwe kuhusu kuwa anapumua bado Sana kuandika iyo siredi[emoji23][emoji23]



Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Baba Mchungaji dah! Umenichekesha sana! Ina maana mpaka sasa yumo kwenye ndoa yake huko?

Kuna kamoja mimi nilifikia kuwa nasali kabisa ili mume wake afe. Kuja kugundua kumbe wala hakana mume. Kidogo nikawashe makofi yaani [emoji16][emoji16][emoji16]

Yeah! Watu wa aina hiyo wapo...na kuwasahau ni mpaka siku ya mwisho tu. Maisha na mafumbo yake!
Zamani wakati katoto katoto nilijuaga ni wadada tu ndio yanatukuta haya kumbe hata nyie buana poleni sana.
 
[emoji16][emoji16] alitangulia kuolewa, na hadi sasa hivi yupo kwenye ndoa na wana mtoto mmoja

hapo kwenye kuombea mtu afe tupo pamoja kabisa.. hili hadi mtumishi wangu mmoja mzee wa watu amejariwa neema ya ndoto, alikuwaga anaona namna inavyo nila hii kitu pale alinishauri sana ila wapi..

but naamini leo ikatokea mtu wake akifa na wangu akifa haichukui mwezi tunaoana na ndoa itakuwa na furaha sanaa

Kuna watu tunawapoteza ambao haikupaswa tuwapoteza ndio kama hawa.. ukisikia ambae alikuwa kaandaliwa kwa ajiri yako ila akachukuliwa ndio hawa.. tunajikuta tuna plan B hizi ni akili zangu tu [emoji16][emoji16]
Pole. Ilikuaje sasa hamkufunga ndoa wakati mnapendana?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sawa bana ila usichelewe sana...
View attachment 2216173
[emoji1]kweli kabisa lkn binadamu muhimu kutambua madhaifu yako kbla hujaingia kwenye ndoa maana kunaharusi alafu Kuna ndoa

Harusi ni sikumoja ikuzidi Saba za honeymoon Ila ndoa ndo kimbembe na ushapta cheti kabla hujaingia kwenye mafunzo sitaki matatizo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
FB_IMG_16476225206880145.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy mother's Day kwenu wakina mama shupavu na jasiri mlioweza kulea watoto wenu vyema na kwa upendo, MUNGU awabariki sanaa.
Hongereni pia wake zetu mlio tulelea watoto wetu na mnaendelea kuwalea kwa upendo na malezi bora, mbarikiwe mpaka mshangae.
Tunawapenda sanaaaa.
Hii siku yenu ikawe njema na mkaifurahie
IMG-20220308-WA0076.jpg
 
Happy mother's Day kwenu wakina mama shupavu na jasiri mlioweza kulea watoto wenu vyema na kwa upendo, MUNGU awabariki sanaa.
Hongereni pia wake zetu mlio tulelea watoto wetu na mnaendelea kuwalea kwa upendo na malezi bora, mbarikiwe mpaka mshangae.
Tunawapenda sanaaaa.
Hii siku yenu ikawe njema na mkaifurahie View attachment 2216194
Ujumbe murua hebu hivi vitext muwatumie na kwenye simu vyao wapate faraja kidogo muwaandalie na zawadi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Selfie na bi mkubwa(best friend)yaani very charming anamisimamo yake mwenyew sema ananikubali kinoma nilipata bahati ya kuwa kafirstborn ka dhahabu
Ukanipa na rohonyeupe

Happy mother's day to all na mm nitasherehekea mwaka ujao inshallah
@mahondow na wote mnaoitwa mama ni sikuyenu leo mfurahi[emoji3059][emoji3059][emoji3059]View attachment 2216208

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Pongezi nyingi kwa bi mkubwa👏
 
Back
Top Bottom