Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Asante sana , mwana wa Mungu 🙏Uko sahihi Baba Mchungaji.
Nitakuja PM tuongee zaidi![]()
Asante sana , mwana wa Mungu 🙏Uko sahihi Baba Mchungaji.
Nitakuja PM tuongee zaidi![]()
Haya yaishe. Kwa sababu ukianza kubishana mweh! Hata huwezi kuona logic ya mwenzako and where s/he is coming from. Na ni Mungu gani huyo anayeombwa kuua mtu na akaua?Ndio umuombee mtu afe??
Uchawi huo![]()
Kabisa yaaniHaya yaishe. Kwa sababu ukianza kubishana mweh! Hata huwezi kuona logic ya mwenzako and where s/he is coming from. Na ni Mungu gani huyo anayeombwa kuua mtu na akaua?
Hizi ni coping mechanisms tu za kisaikolojia kuzima maumivu...
Tayari kwenye last seenHaya yaishe. Kwa sababu ukianza kubishana mweh! Hata huwezi kuona logic ya mwenzako and where s/he is coming from. Na ni Mungu gani huyo anayeombwa kuua mtu na akaua?
Hizi ni coping mechanisms tu za kisaikolojia kuzima maumivu...



Sometimes you gotta do what you gotta do!Kabisa yaani
Siyo huyu Mungu,labda shetani![]()







Mapenzi ni upofuSometimes you gotta do what you gotta do!
Halafu sasa cha kuchekesha kimtu chenyewe kilikuja kunishinda. Yaani ni kitata hatari full uanaharakati 24/7. Nikaanza tena kuomba ili Mungu Anisamehe kwa sala zangu za kitoto/kijinga za hapo awali![]()
Kwa kweli baada ya ile miaka kupita nilijua nime move on, lakini siku hio tunaonana kila kitu kilibadilika nilijihisi sija move on, nilikuwa maeneo flani ambapo wote tulikuwa tunafika hapo miaka hio.Dah! Maisha ni fumbo , alifurahi sana kukuona.. 😓
Kwa kweli baada ya ile miaka kupita nilijua nime move on, lakini siku hio tunaonana kila kitu kilibadilika nilijihisi sija move on, nilikuwa maeneo flani ambapo wote tulikuwa tunafika hapo miaka hio.
Huwezi amini hata kuonana hatukupanga, nilishangaa kusikia jina langu nyuma yangu, kumbe ni ex wangu, tulikumbatiana pale, baada ya chatting aliinivuta tukanunue kinywaji, kwa jinsi nilivyomuona nahisi ningeweza kumkokota sehemu yeyote ningetaka, alikuwa bado ana mvuto mno machoni mwangu.
Sema nilimwambia kiutani utani lakini ilikuwa message kuhusu maumivu aliyonisababishia akawa anacheka tu.
Halafu si unajua watu wa nje tena zile kauli "am happily married with two kids... blah ..blah... blah" yaani inakuwa inakuchoma basi tu yaani.
Baada ya chatting na story nyingi, nilimbusu mikononi nikamwambia nakwenda, tuliagana nikageuka nikaelekea kwenye usafiri wangu huyooo nikapepea, sifahamu kama nilifanya maamuzi sahihi lakini nahisi nilifanya maamuzi sahihi, ni mke wa mtu sasa. 🙂
Si unajua tena na mimi nilimuonesha nime move on 🙂.
we mapenzi yaache tu.
Ni kweli mkuu, hasa ukitafakari wewe ndio mtendwa.Ulifanya maamuzi sahihi...
Na huo ndiyo uanaume sasa...
Kulala na mke wa mtu huwa naona kama udhaifu fulani hivi na dhambi kubwa tu isiyo na sababu...
Hongera kwako!
Hayo ndiyo mapenzi ya dhati sasa.Ni kweli mkuu, hasa ukitafakari wewe ndio mtendwa.
Mi najua unaimba zako gospel kumbe unasikiliza story zote 🙂Hayo ndiyo mapenzi ya dhati sasa.
Wewe siyo mbinafsi .
Angekuwa mtu mwingine mbinafsi angejiwazia yeye tu!pasi na kuwaza upande wa mwanaume mwenzie.
Nipo nakusoma mkuu,and I feel youMi najua unaimba zako gospel kumbe unasikiliza story zote 🙂
ni kweli mkuu 🙂 i agree with you.



Kichwa kimenivimba, ahsante.Nipo nakusoma mkuu,and I feel you
You're a man![]()