Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Mkuu upo sahihi kabisa she was my first serious girlfriend, na kale ka umri kale ka ujuaji pasipo manufaa 🙂 , yaani unavyokua ndio unazidi kujua ulikuwa hujui.Yeah! Inaonekana bado ana maumivu. Nadhani karibu sote tuna mtu wa aina hiyo. Mtu ambaye japo mambo hayakwenda kama yalivyotakiwa kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto na kutoyajua maisha sawasawa lakini bado tunaamini kuwa pengine wao ndiyo walikuwa watu sahihi kwetu. Ila ndo hivyo tena hakuna la kufanya!