Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Binafs kwa huku nakoishi wapo lkn nisiseme uongo sijawahi chunguza sabbu ni ipi huenda wanawake wakawa ni sabbu

Lkn pia haimfanyi umpige had azimie kunanamna nyingi za kurekebishana..

Mapenz yamekuwa hayana mvuto na kikubwa heshima hakuna kwa pande zote hakuna heshima kwa mwanaume kwa mwanamkewake na mwanamke Hana heshima kwa mwanaume wake

Hakunatena kukosoana kwa adabu hakuna usiri hakuna kusikilizana Wala kubembelezana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mimi nilikuwa nadhani huko upande wenu kidogo bado kuna unafuu kidogo. Huku kwetu kwa Wagalatia mambo ni moto kila unakoenda unakutana na mafundisho ya ajabu ajabu juu ya ndoa na unyumba kutoka kwa hawa manabii na mitume waliojaa kila mtaa. Kwenu huko nadhani bado mwanamke anafundwa kubakia mwanamke na kuyajua majukumu yake sawasawa pamoja na yale ya mumewe.
 
Unafuu unategemea na akili ya mwanamke anaolewa kwasabbu ipi anajua majukumu ya kuwa mke ni yapi malezi pia alolelewa
Sababu ikiwa mapenzi ni kuendana tu na maisha huwa poa Sana Ila km sabbu ni umri kusogea Sana akipta ndoa itakuwa hmna Cha thmni kusudilake litakuwa limeisha

Kujua majukumu ni kufahamu mume ndo kiongoz na ndo amri ya Mungu ilivo mke kubaki msaidizi pekee na mlezi
Lkn vyote vitimie inatak uwe very smart kichwani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilikuwa nadhani huko upande wenu kidogo bado kuna unafuu kidogo. Huku kwetu kwa Wagalatia mambo ni moto kila unakoenda unakutana na mafundisho ya ajabu ajabu juu ya ndoa na unyumba kutoka kwa hawa manabii na mitume waliojaa kila mtaa. Kwenu huko nadhani bado mwanamke anafundwa kubakia mwanamke na kuyajua majukumu yake sawasawa pamoja na yale ya mumewe.
Na mwanaume ajue kusimama kma mwanaume kumpenda na kumheshimu mkewe,mipaka ya kuongea na kukosoa kwa kuzingatia heshima ya mwenzio

Kunawale chakula kimezidi chumvi ni kuchamba mbele ya watoto ni Jambo dogo mno lakn linawza kumuathiri kwa kiwango kikubwa

Kutimiza majukumuyako usimame kusawasawa sidhani km ndoa itakuwa ni Moto km ilivo

Back
Top Bottom