Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
How it started
Huu ubuyu wa motooo, jaman mambo yako hukuuui.Khaa! Ukiweka naomba unitag.
We ukiweka unitag sasa ole wako usahau.Huu ubuyu wa motooo, jaman mambo yako hukuuui.
Lazima uzi niushushe, ntatembeza code balaaa.
Dea huwezi amini mambo yanayoshushwa hapa, mweeeeh.Ah so sad
Baadae usiku, kule celebrity ntaweka uzi pambeee.We ukiweka unitag sasa ole wako usahau.
Si unisaidie bas dada? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona venye ulivyo na madeni? Amkaa dogo
Gram ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi jana ikawa hivi… wakati nimezivua, nikakukumbuka makapu wetu Saint Anne View attachment 2214980
Haya dia.Baadae usiku, kule celebrity ntaweka uzi pambeee.
Hiyo si ya kukosa kabisaDea huwezi amini mambo yanayoshushwa hapa, mweeeeh.
Mbna inaogopesha, mheshimiwa anakusanya nyota za watu km zake vilee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ubuyu baadae nauweka, kaeni mkao wa kusubir tyuuh.Hiyo si ya kukosa kabisa
Ubuyu unanoga ukiwa wa moto fanya ulete uzi dear
Haya ngoja tuusubiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ubuyu baadae nauweka, kaeni mkao wa kusubir tyuuh.
Ndo nazichukua hapa Frensi kona nikazitumbueHaya
Amka ukazitumbue..
@Strawbella mama kuna vitu vizuri huku
Rafiki Ahsante.
Nimewaza nikasema ni ndugu yake Strawbella au?[emoji23][emoji23]
😂😂😂 ni Frensi kona? Haha siku najua panaitwa friends kona nilijicheka…Ndo nazichukua hapa Frensi kona nikazitumbue
Nipe location
Mama ni hatari [emoji23][emoji23] tuna wazungu humu kumbe
Kina Van Vicker wa bongo sasa
Hahaha kumbe nina sister humu [emoji23]