Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Nimewaza nikasema ni ndugu yake Strawbella au?😂😂@Strawbella mama kuna vitu vizuri huku
Rafiki Ahsante.
Nimewaza nikasema ni ndugu yake Strawbella au?😂😂@Strawbella mama kuna vitu vizuri huku
Rafiki Ahsante.
Siyo kwa kunikana ulikonikana hapa hadharani hivi wakati niliamini wewe ndiye mtetezi wangu😁Kiboko ya nini tena nkamu?
Acha utani 😭😭😭😭😭😭😭Mbona nimeselfika dk kadhaa hapa hujaniona?
Rudia Ile ya live kwanza; ukiweka nawekaSiyo kwa kunikana ulikonikana hapa hadharani hivi wakati niliamini wewe ndiye mtetezi wangu😁
Selfika tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo.Amkeni mkatafute hela za watu za rejesho/ kibati/ vikoba/ kodi nk
Afadhali umekuja shouzy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo.
Mama ni hatari [emoji23][emoji23] tuna wazungu humu kumbeNimewaza nikasema ni ndugu yake Strawbella au?[emoji23][emoji23]
Acha uongo wee shouzzzz, lolNamie Leo nitajitahidi nipige mpya nione japo Kamera inazingua kweli kweli yani!
Tumia web achana na app haina issueKwa mnaotumia App ya Jf hivi na nyie mnapata shida ya notification kama mimi? Notifications kibao zinanipita.
Kina Van Vicker wa bongo sasaMama ni hatari [emoji23][emoji23] tuna wazungu humu kumbe
Baadae hiyo kwioooo, hebu weka selfie hapa.Niende shamba nikasaidie vijana Wangu sasa badae wakuu!![emoji124][emoji124]
Mama malezi mic u moaaah, hebu weka vidole bas. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Mimi mwenyewe sijawahi kukuona nkamu [emoji849][emoji849][emoji849]
Nimewaza nikasema ni ndugu yake Strawbella au?[emoji23][emoji23]
Niwekee kiduku chako basiMama malezi mic u moaaah, hebu weka vidole bas. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Mr vocha, hebu weka picha niliyopitwa.Afadhali umekuja shouzy
Hiyo ya live sijaionaMalizia "Live bila chenga"[emoji16]