Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakikisha kuna totoz za kutosha

Alaf bomba si bado linatoa maji au lilishafungwa??
😂😂😂 watakuwepo, watoto wa IAA tena


Bado lipo… 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka hadi basi…
 
Mie app inazingua, afu niko chimbo nafuatilia ubuyu hapa mheshimiwa m1 wa mjengon pale dom, kumbe kazi kuharibu watoto wa watu, afu anawatumia ktk mambo ya utajiri na biashara zake,

Huyo mtu ni rafik wa star wa kike mkubwaaa, yaan anashusha ushuhuda hapa khaaah, huu ubuyu baadae ntauanzisha uzi. Weuweeeeeeeh.

[emoji1301][emoji1301]nasubiri [emoji2][emoji2]
 
Ila code zisiwe za kuumiza kichwa jamani na usisahau kum tag shangazi yako....
Baadae mbna, nyiee chimbo leo kutamuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan watu hadi wajue mbivu na mbichi, kisa kutaka kuroga limbwata, kufika kaambiwa wee ashakuharibu kitamboooo

Jaman mie sitaki. Khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jukwaa la celebrities au wapi ?
Mimi sitembei sana humu
Celebrities kulee dea, baadae.

Tupo hapa tunamsihi mtu wetu, maana anataka kumuumbua mheshimiwa public, nyie Dunia ina mambo hii khaaa.

Mtoto wa watu anatuma voice notes kaliaa wee had saut imekata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Celebrities kulee dea, baadae.

Tupo hapa tunamsihi mtu wetu, maana anataka kumuumbua mheshimiwa public, nyie Dunia ina mambo hii khaaa.

Mtoto wa watu anatuma voice notes kaliaa wee had saut imekata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!!hatari.
 
Back
Top Bottom