Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Kwan kapost? Nipo hapa mbona sijaonaUna makusudi wewe, kidevu ndiyo Cha kufuta sasa? Nikajua unapost kitu Cha laivu nkamu
Kwan kapost? Nipo hapa mbona sijaonaUna makusudi wewe, kidevu ndiyo Cha kufuta sasa? Nikajua unapost kitu Cha laivu nkamu
Hahahah mchoyo sana huyu aisee; Mimi nimeioteaKwan kapost? Nipo hapa mbona sijaona
Muombe mama mchungaji Heaven Sent amehifadhi kwa matumizi ya baadayeKwan kapost? Nipo hapa mbona sijaona
Kidevu kina uchebe au? Jaman hii app leo ina nn khaaaah.Una makusudi wewe, kidevu ndiyo Cha kufuta sasa? Nikajua unapost kitu Cha laivu nkamu
Kurefresh kwa browser sasa khaaaNilikua na kuona ulivyokua unabofya kitufe cha ku refresh🤣🤣🤣
Khaaa! Kaweka sekunde tu anafuta.Hahahah mchoyo sana huyu aisee; Mimi nimeiotea
😂😂😂😂😂Kidevu kina uchebe au? Jaman hii app leo ina nn khaaaah.
Yaan ujue nilikua hapa hapa eti kaweka pic na sijaona jamanKidevu kina uchebe au? Jaman hii app leo ina nn khaaaah.
Mie app inazingua, afu niko chimbo nafuatilia ubuyu hapa mheshimiwa m1 wa mjengon pale dom, kumbe kazi kuharibu watoto wa watu, afu anawatumia ktk mambo ya utajiri na biashara zake,Yaan ujue nilikua hapa hapa eti kaweka pic na sijaona jaman
HayaEla tayari tunazo tulitafuta sana ujanani sasa uzeeni tunaamka tukatumie tuu
Khaa! Ukiweka naomba unitag.Mie app inazingua, afu niko chimbo nafuatilia ubuyu hapa mheshimiwa m1 wa mjengon pale dom, kumbe kazi kuharibu watoto wa watu, afu anawatumia ktk mambo ya utajiri na biashara zake,
Huyo mtu ni rafik wa star wa kike mkubwaaa, yaan anashusha ushuhuda hapa khaaah, huu ubuyu baadae ntauanzisha uzi. Weuweeeeeeeh.
🤣🤣🤣 umeona venye ulivyo na madeni? Amkaa dogonimecheka mnooo.
Ah so sadMie app inazingua, afu niko chimbo nafuatilia ubuyu hapa mheshimiwa m1 wa mjengon pale dom, kumbe kazi kuharibu watoto wa watu, afu anawatumia ktk mambo ya utajiri na biashara zake,
Huyo mtu ni rafik wa star wa kike mkubwaaa, yaan anashusha ushuhuda hapa khaaah, huu ubuyu baadae ntauanzisha uzi. Weuweeeeeeeh.
Na wewe unataka utukatili sio vizuri jaman.