Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nkamu umenikana hadharani mara tatu kabla jogoo hajawika[emoji16][emoji16]
Afadhali umekuja maana tangu bei ya mafuta imepaa umepotea sana nkamu tafadhali jiselfishe tumekuhamu sanaa
Kwamba nimepotea na bei ya mafuta?

Nakukana zaidi ya Petro[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mnaotumia App ya Jf hivi na nyie mnapata shida ya notification kama mimi? Notifications kibao zinanipita.
 
Back
Top Bottom