cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Awwwww yaan full kuenjoy, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] na mapenz ya kuviziana ni matamu sanaaaa
Awwwww yaan full kuenjoy, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] na mapenz ya kuviziana ni matamu sanaaaa
Mweeeh std 7, wanataka njia salama, dunia simama nishuke khaah.Darasa la saba na ni wapenzi aisee niliwaza sana
Km wewe unavojua deka sijuiView attachment 2213214
Kilio chake ni kikubwa
upo vizuriHahahaaaa...
Siku hio nilikua pale Liquid bar napiga pombe kitu cha absolute vodka, hio kwa beginners haifai.Mwalimu adimu Sana sikukuu nilitaka nipige vitu ukawa huonekani kunipa maelekezo[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Kheeeeh hiyo shule ni ya private au ya kidini? Maan km gvt mbna madames wengi wanavaa trauza, vimini, vishasta etc?
Wee asiwapangie, muwa suplaiz vidume wa 4m 6 wakienda makwao wawakumbuke khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Are you OK mpendwa?[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
U Ok utoke wapi mpendwa halafu kama nimeku miss kwa mbali msukuma😬Are you OK mpendwa?
Kwa nini unalia?
Natumaini kila kitu kiko salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huwa nasimuliwa na dada zangu kipindi nikiwa mdogo ilikuwa ni kilio nikigundua Ma kaenda safari bila kunichukua.Km wewe unavojua deka sijui
Kweli kabisa aisee! [emoji16][emoji16][emoji16]Siku hz humu story nyingi kuliko kuselfika
Pole [emoji1545][emoji1545][emoji1545]U Ok utoke wapi mpendwa halafu kama nimeku miss kwa mbali msukuma[emoji51]
hahahahaha.
Ungeniita tu nikaanza kidogokidogo ili niongee kiingereza [emoji23]upo vizuri
Siku hio nilikua pale Liquid bar napiga pombe kitu cha absolute vodka, hio kwa beginners haifai.
Naachaga na kurudii...naweza kuacha leo kesho nikarudia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenyewe nimepata kiu nilivyoona neno bar. Lakini si uliniambia umeacha pombe wewe
liquid ya wapi mkuu!!???upo vizuri
Siku hio nilikua pale Liquid bar napiga pombe kitu cha absolute vodka, hio kwa beginners haifai.