Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shouzzz tena muwa suplaiz siku ya mwisho ya NECTA, ili wakienda makwao waka wakumbuke sana.
Hahaa!! Tatizo mkuu ana element za ki Pastor lazima atuite ofisini sasa Ndiomana tumeamua tunavaa kwa pamoja ili ajue hili jambo lipoo azoee.. mbona wenzetu wanatinga sana tu
 
Hahaa!! Tatizo mkuu ana element za ki Pastor lazima atuite ofisini sasa Ndiomana tumeamua tunavaa kwa pamoja ili ajue hili jambo lipoo azoee.. mbona wenzetu wanatinga sana tu!!
Kheeeeh hiyo shule ni ya private au ya kidini? Maan km gvt mbna madames wengi wanavaa trauza, vimini, vishasta etc?

Wee asiwapangie, muwa suplaiz vidume wa 4m 6 wakienda makwao wawakumbuke khaaaah,
 
Kheeeeh hiyo shule ni ya private au ya kidini? Maan km gvt mbna madames wengi wanavaa trauza, vimini, vishasta etc?

Wee asiwapangie, muwa suplaiz vidume wa 4m 6 wakienda makwao wawakumbuke khaaaah,
Serikali shos tena kongwe tu!!!
 
Back
Top Bottom