hapana shos lazima waadhibiwe!sasa muwaache kidogo wawe wanapoza engine. Uwiiiiih.
Kuselfika kuendelee! 🤣🤣
Tukachakarike kwanza. Ila ukiweza kutupia sio mbaya 😊Saivi nisubirie au after majukumu???😜
Jamani jamaniii..!! Mungu fundi wallah..!!
Asante🙏🏽Pole
Mimi nipo...
Napita huku kimya kimya kuvizia picha sometimes japo nimepunguza...
Jamani jamaniii..!! Mungu fundi wallah..!!
Yaani nikabaki nimeduwaa kwenye picha hadi mtu kanishtua... Oyaa mbona macho yamekutoka hivyo..!?Mwee mweee mweee mweeehh😜😜😜😜!!
Wewe uliwahi kuweka humu angalau ukucha😬Siku hz humu story nyingi kuliko kuselfika
😋
Huyu ni kiongozi gani?
Mbona hio ya kawaida tu Mkuu!Yaani nikabaki nimeduwaa kwenye picha hadi mtu kanishtua... Oyaa mbona macho yamekutoka hivyo..!?
hahahaha.zipo nyingi sana humu.hujaziona tuWewe uliwahi kuweka humu angalau ukucha😬
hahahaha.anko.bro.afande jkk jrHuyu ni kiongozi gani?
sawa sawa
Sasa siku ukiweka unayoiona si ya kawaida jamani mimi si ntakufa mimi..!!! Maana hii tu mimi, Dah..!!Mbona hio ya kawaida tu Mkuu!
hahahahaha.
Hapana nakutania mkuu Mahondaw wahovyo TU! Hovyo sanaSasa siku ukiweka unayoiona si ya kawaida jamani mimi si ntakufa mimi..!!! Maana hii tu mimi, Dah..!!
shule gani hiiHaha
Asembo ya mwisho katika maisha ya shule
Tumeaumaliza mwendo tumeumalizaaa
!!View attachment 2213529