Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sisi tulitaka mpite nyie ili tuwatandike kihalali.
Sasa eti tunacheza na Madrid,ni sawa na Simba kugombana na mbwa ...
Hakuna mechi hapo,asubuhi na mapema tunaibuka kidedea.
Mie nna neno bas? Mie yangu macho tyuuh sahivi.
Huko UEFA, tunawatazama tu wenzetu. [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani!! Na umbea wangu nilikua nishasinzia nikaamka ona sasa umenikuta online [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji12][emoji848]!!
Tena urudie faster, nataka niende kwa Yoga nkasome ubuyu pambeee.
 
Back
Top Bottom