Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,925
Nimekumiss pia mtoto mzuri, barua pepe yangu uliipataMiss u rafiki. Uko poa??
Nimekumiss pia mtoto mzuri, barua pepe yangu uliipataMiss u rafiki. Uko poa??
Hapana kipenzi, kule nimefunga. Iv ulikua serious kumbe? Nilijua unatania.Nimekumiss pia mtoto mzuri, barua pepe yangu uliipata
Unafungaje kule na hujapata mume, baade unasema Mungu mimi nimekosa nini mbona siolewi kumbe makofuli hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana kipenzi, kule nimefunga. Iv ulikua serious kumbe? Nilijua unatania.
Mume ata hapa napata ujue [emoji12]Unafungaje kule na hujapata mume, baade unasema Mungu mimi nimekosa nini mbona siolewi kumbe makofuli hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha mlango wazi wa kubisha abishe, kufungua mlango ni juu yako 😃😃Hapana kipenzi, kule nimefunga. Iv ulikua serious kumbe? Nilijua unatania.
Sasa je [emoji23][emoji23]Mume ata hapa napata ujue [emoji12]
Ndio mnanipa makavu [emoji23] haya nitafungua.Acha mlango wazi wa kubisha abishe, kufungua mlango ni juu yako [emoji2][emoji2]
Siku nyingine kaka leo sina haliFanya wepesi basi dadangu?
Haya rafiki nitafungua [emoji12]Sasa je [emoji23][emoji23]
Woga wako ndio umaskini wako. Just be strong best.Ndio mnanipa makavu [emoji23] haya nitafungua.
Atakaeingia wa kwanza ataweka sheria zake kukuzibiti utafunga tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mnanipa makavu [emoji23] haya nitafungua.
Hahaha mimi pia dearAisee nilijua peke yangu[emoji23]
Helo best[emoji106]Siku nyingine kaka leo sina hali
Mmepatwa na nini watoto wazuriHahaha mimi pia dear
Uvivu wa haja
[emoji23]YamenikutaView attachment 2213049
Sawa rafiki.Woga wako ndio umaskini wako. Just be strong best.
[emoji23] wala hata. Sitafunga tena.Atakaeingia wa kwanza ataweka sheria zake kukuzibiti utafunga tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Huko intelligence ni[emoji91]
Mimi kichwa Changu kizito bado hata sielewi vizuri.