Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,996
- 35,447
Hata hakukua na pilau kwetu nikajua utanialika na wewe ukanilia buyu.Pilau limeisha ndo tunakumbukana sasa dah!
Enewei hawa yu furendi?
Hau wozi ze pilau?
Niko poa sana, sijui wewe na uchoyo wako [emoji16][emoji16]