Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilichokimbia hostel chuo, kuwa watu wanafanya mambo yao mbele ya wengne na hawajali wala nn, khaaah.

Nkajisemea siwezi mie asee, now nipo alone yaan naenjoy balaaa.
Kuishi maghetton n full burudaaan.
Kuna roommate wangu alikuwa ananipiga exile.
Nimetoka na maupako yangu huko nakuta tu kitanda kinatikisika aisee..
Sitamani tena hayo maisha ya hostel.
 
Back
Top Bottom