Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huku chini si ulikuwa boarding au hiyo shule ikoje
Muda mrefu huo ulikaa hapo

Kwa hiyo hapo umepanga mwenyewe
Kuna raha yake kuishi kwa kujitegemea mwenyewe
Tangu primary had chuo ni serikali. Primary nlisoma kayumba,

O level nlisoma shule ya jinsia 1, ya boarding O &A level, advance nilienda zenye wanaitaga special school, nayo boarding O & A level.

Chuo ndo nipo maghetton alone, yaaah full uhuru na amani.
Changamoto zipo ila sio kihivyo.
 
Ooh hapo nimekupata
Kuishi peke yako ni raha sana .. nakumbuka wakati naenda kupanga everyone was like unakaa pekee yako why ? .. nawambia ndio wanabaki kushangaa aisee siku si nyingi wakaanza malumbano baadae wananiambia eeh bora kuishi mwenyewe tu .
 
Imagine unakaa na mtu then yeye anamleta boyfriend wake hawatoki hapo nyumbani .. wewe unabaki kuwa kama mkimbizi
nilichokimbia hostel chuo, kuwa watu wanafanya mambo yao mbele ya wengne na hawajali wala nn, khaaah.

Nkajisemea siwezi mie asee, now nipo alone yaan naenjoy balaaa.
Kuishi maghetton n full burudaaan.
 
Ooh so sad
Huko ndo kuna mambo hayo

Kuishi mwenyewe kunaleta uhuru fulani hivi
Umeamka asubuhi huna hela ni wewe .. umepata baadaye unajua wewe tu.
 
Back
Top Bottom