Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,675
- 50,994
Hebu acha utani popcornYaan labda ukaribie tutazame movie kutwa nzima, maana hakna chochote, tutanunua pop corn tutafune.
Au unaonaje?



Hebu acha utani popcornYaan labda ukaribie tutazame movie kutwa nzima, maana hakna chochote, tutanunua pop corn tutafune.
Au unaonaje?



Cocoa nzuri sanaYaan cocoa imekuja kunisitiri mnooo.
Yanauzwa Kariakoo? Na mie nikayatafute hayo.
That guy...Nawee selfika leo.
Hapana sipakagi kabisaNdo hapo sasa una shine tu mwenyewe
Hahaha eti umepaka bobo zima ,
Huwa unapaka powder kama ukiwa unatoka ?
Ooh huwa vinakera muda mwingine mara mwingine aje akutumbue huyo ..maswali mengi aisee vipi uso wako .Aseeeeeeh ahsante kwa somo, nisivyopenda chunusi au vipele,
Mbna ntalia sana, ngoja niwe makini sasa.
Ooh nice Tupo kundi mojaHapana sipakagi kabisa
..... leo live bila chenga
Nimeikosa hiyo..... leo live bila chenga
Eid Mubarak
Nimepitwaaaah khaaah..... leo live bila chenga
Eid Mubarak
Polee sana rafikiNimeikosa hiyo
Subiri kesho ya kanzu 😃Arudie bhana khaaaah,![]()
Ikishakuja hakna namna, unasonga na life tyuuh.Ooh huwa vinakera muda mwingine mara mwingine aje akutumbue huyo ..maswali mengi aisee vipi uso wako .
Kuna muda nilivipata aisee sema sikujali maana ilikuwa nimebadilisha mazingira uso ukawa mbaya .. hivyo unasonga na sura yako .
Mimi niliamua kupunguza nywele niliona nazo keroOoh nice Tupo kundi moja
kinachonichewelesha kwenye kujiandaa ni nywele tu otherwise sina cha kuniweka na nikiamua siku nyingine nachana tu kwenda nyuma .
Sitaki mie, nataka hapa sahivi. LolSubiri kesho ya kanzu![]()
Ngoja nitaenda k/koo kutafuta hayo mafuta.Cocoa nzuri sana
Napenda hayo ,Vaseline ya cocoa inavutia mno
Ooh yeah lazima yatakuwepo kariakoo .
Mshawishi Alayna aselfike na mimi nitarudiaSitaki mie, nataka hapa sahivi. Lol