Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Vyuo vya dar full stress aisee
Mikoani hata hamna mambo hayo ..tena watu mnavaa kawaida tu na life inaendelea.

Sikaagi na nywele pia ila siwezi kuchezea hela hivyo yaani mtu unakuta amesuka style ya bei halfu baada ya siku chache anafumua aisee

Nilikaa advance hostel hapo kariakoo aisee maisha hayakuwa rahisi ..pale ilikuwa rahisi mno kuanguka kwenye makundi siyo ..

Mara watu waende kukesha Coco Beach , mitoko mingi , sisi tulikuwa tunabaki room na kusubiri warudi na vyakula tule [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hostel chuo sikuwahi kaa, na sikutaka kwan.
Yaan dar wadada wanahaha na life mweeeh, show off za kijinga tyuuh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hostel chuo sikuwahi kaa, na sikutaka kwan.
Yaan dar wadada wanahaha na life mweeeh, show off za kijinga tyuuh.
Ooh hukutaka kabisa ?
Nimekaa hostel ya nje toka form five maana shule ilikuwa mbali

Aisee yani Mungu awasaidie tu .. ila acha waenjoy ni maisha yao.
 
Bidhaa za Palmer's zina kiharufu fulani hivi kizuri cha Cocoa-Butter,....
Zamani nimetumia Lotion zao na Mafuta zina harufu inafanana....
Hii uliyoiweka ndiyo sikuwahi kutumia....
Cocoa butter products are the best aisee
Mimi huwa nafungua kopo kwanza nakusmell harufu kwanza ndo nipake .

Basi itakuwa haina tofauti na hizo nyingine
Harufu itakuwepo tu
 
Ooh hukutaka kabisa ?
Nimekaa hostel ya nje toka form five maana shule ilikuwa mbali

Aisee yani Mungu awasaidie tu .. ila acha waenjoy ni maisha yao.
Toka 4m 1-6 nimeishi hostel, wee chuo niligoma kabisaaa.
Nkasema nshakua mtu mzima, nahitaji uhuru sasa na mie lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom