Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hahaha nazipenda aisee nikiona msuko nitamani halafu sina nywele [emoji23][emoji23] . maana nanyoaga zote .[emoji23][emoji23] Mpaka unaziota ziache tuu
Nimekata kawaida tuu kwasababu huwa navaa hijab
Ooh nice unazifunika nywele .