Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Eeh umeifuta chapPolee sana rafiki
Eeh umeifuta chapPolee sana rafiki
Arudie kwa kweliArudie bhana khaaaah,![]()
Ooh yeahIkishakuja hakna namna, unasonga na life tyuuh.
Arudie haswaa yaan.Arudie kwa kweli
Kabisaaa yaan.Ooh yeah
Inabidi life iendelee tu ..
Ooh hongeraMimi niliamua kupunguza nywele niliona nazo kero
Ukiyatumia ulete feedbackNgoja nitaenda k/koo kutafuta hayo mafuta.
Mjep tufanyie favourArudie haswaa yaan.
Imerudiwa
TayariiMjep tufanyie favour
Ukizoea nywele lazima ukinyoa uone tofauti kama hizo mimi nilitaka kunyoa zote nikajifikiria haka kakichwa katakua kadogo mnoo nikaamua kupunguza tuuOoh hongera
Kusuka huku kunanichosha pia sema nikinyoa nakuwa na sura kakitoto mno .
Ooh upo sahihi ..so umeweka style fulani hiviUkizoea nywele lazima ukinyoa uone tofauti kama hizo mimi nilitaka kunyoa zote nikajifikiria haka kakichwa katakua kadogo mnoo nikaamua kupunguza tuu
...ngoja nivumilie kwanza nizione .Nyoa wee, yaan nikiweka kiduku changu flan hivi, wee acha tuuhOoh upo sahihi ..so umeweka style fulani hivi
Sema mimi ni kigeu geu aisee nitatamani kusuka baada ya miezi miwili ,juzi hapa nimeota nimenyoa...ngoja nivumilie kwanza nizione .
😂😂 Mpaka unaziota ziache tuuOoh upo sahihi ..so umeweka style fulani hivi
Sema mimi ni kigeu geu aisee nitatamani kusuka baada ya miezi miwili ,juzi hapa nimeota nimenyoa...ngoja nivumilie kwanza nizione .
Eeh wow .. una kiduku kumbeNyoa wee, yaan nikiweka kiduku changu flan hivi, wee acha tuuh
Japo umewahi kuifuta ila ubarikiwe kwakweliI
Imerudiwa