tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,830
- 8,246
Oh kumbe!Weee kwani ni T!?
Me niliona Mkwepu
Oh kumbe!Weee kwani ni T!?
Me niliona Mkwepu
Kabisaa, me nashangaaga, mdada akichelewa kuolewa, ooh alikua anachagua sana, ooh alikua anadanga etc etc.. hivi wanajua upande wa pili ni vitu gani huwa vinaendelea kweli ?? Wanawake tunavumilia sana sanaa basi tu..Tunaona hata wengi wao wanavyowatreat kwenye ndoa hao wanawake waliohustle nao; full manyanyaso. Na wengine waliachwa kwa tabia mbaya; ila wanaishia tu kulaumu kuwa ukiwa huna pesa hakuna mwanamke atakayekupenda. Sasa uvumiliwe na mitabia yako kibaya kisa maskini? Na ndiyo hao hata akipata pesa anataka akutreat kama one of his object; imelala yooooooo
Fresh Coach plaza
Lime like huko
Likorofi
Halafu lina udugu na mwenye hapa
Unataka nirogwe
Kaa kwa utulivu


Weka picha bwanaUpo upo bado
Mimi sio ensam lakini![]()

Na ukae kwa kutulia kwerikweriWee mie kichaa tu nina madhambi yangu kibao!!!🤔🤔 sema kuna umri nilicharukaga kweli kweli ila saivi nimetulia nalea ndoa wanaume wenyewe wachache 🤣🤣😂😂😂! Akiniponyoka nahawa watoto wawili sijui nitafanyeje Sitaki tena ujinga mbona!!
Haya bwana

HakiMngekoma kidogo sasa
![]()


😂😂🤣🤣🤣🤣 !Naona unataka kuwa mshenga 😁😁
Kanisani Kuna wahuni wamejipachikaMdogo angu, uwe tu na jicho la rohoni. Kuna hao watoto wa kanisani, ukipata nafasi ya kuyashuhudia matendo yao; utajiona wewe ni secretary wa Mungu
Msiwe mnatukataaKabisaa, me nashangaaga, mdada akichelewa kuolewa, ooh alikua anachagua sana, ooh alikua anadanga etc etc.. hivi wanajua upande wa pili ni vitu gani huwa vinaendelea kweli ?? Wanawake tunavumilia sana sanaa basi tu..
Hivi Jua kali ni nzuri eehh! Yani mimi drama za kiswahili naangalia huba tu...za mbele ndio napenda mnooo!Haki
Unafanya tu
Kumuonyesha picha
Yule wa vigezo vyako
Kwamba
Napiga chini huyu
Fasta jamaa anatangaza ndoa![]()
Kwani hujaonaWeka picha bwana![]()

Hatuwapi hawa bhanaKumbe ndio wa namna hiyo mnawapaga mbususu bureee
Ahaaaaa! nilibahatishaga yake mara moja tuNimereply ulipoweka screenshot ya Mkwepu… nikakwambia akiitikia najipost wazi wazi
Hahaha lakini tatizo sio suraMsiwe mnatukataa
Na sisi sura za wajenzi
Halafu mimi
Domo zege
Najaribu jaribu