tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,830
- 8,246
Tuendelee kumsihi bwanaMarry me…………… au basi 🙄
Tuendelee kumsihi bwanaMarry me…………… au basi 🙄
Akiitikia najipost bila crop wala emojmkwepu jr Asante kwa likes mkuu ila ulitupiaga selfii mara moja tu naleo tubariki basi mkuuView attachment 2195400
🤣🤣🤣🤣🤣
Bwana Yesu AsifiweTuendelee kumsihi bwana
Kilemakyaro center kabisaPamefanana na Singida![]()
🙄Kilemakyaro center kabisa
😀😀😀 hallelujahBwana Yesu Asifiwe
Tunaona hata wengi wao wanavyowatreat kwenye ndoa hao wanawake waliohustle nao; full manyanyaso. Na wengine waliachwa kwa tabia mbaya; ila wanaishia tu kulaumu kuwa ukiwa huna pesa hakuna mwanamke atakayekupenda. Sasa uvumiliwe na mitabia yako kibaya kisa maskini? Na ndiyo hao hata akipata pesa anataka akutreat kama one of his object; imelala yoooooooJamii inapenda kulaumu tu lakini there’s a story behind ya mdada ambaye anaonekana amechelewa kuolewa.. tena story ya kuumiza..
Wanaume wanaambiana huko 97% hawaoi wadada waliosota nao 😀😀 sababu kibaooo
Mdogo angu, uwe tu na jicho la rohoni. Kuna hao watoto wa kanisani, ukipata nafasi ya kuyashuhudia matendo yao; utajiona wewe ni secretary wa MunguLakini Kwa mtu aliye makini ni rahisi kujua mtoto wa kanisani ni yupi na yupi siyo.
Hii sindano hiii!Tunaona hata wengi wao wanavyowatreat kwenye ndoa hao wanawake waliohustle nao; full manyanyaso. Na wengine waliachwa kwa tabia mbaya; ila wanaishia tu kulaumu kuwa ukiwa huna pesa hakuna mwanamke atakayekupenda. Sasa uvumiliwe na mitabia yako kibaya kisa maskini? Na ndiyo hao hata akipata pesa anataka akutreat kama one of his object; imelala yooooooo
MamlaiYule hutakiwi hata kushika simu yake
Ila Van V handsome..
Very appealing![]()


Usijali mkuu, huyu wa kule kwetu kabisa, tutatafuta nafasi ya kuonana pale matejoo@tamsana mkuumungu anena nasi kwa njia tofauti ! May be ndio ananena nawe hapa ujue!
![]()
Mngekoma kidogo sasaMamlai
Tuseme ndio upo kwa hiyo juakali
Ukapewa hiyo scene (sijui nimepatia)
Ucheze na huyo mtabe
Tungekoma eeh![]()
Weee kwani ni T!?
Aimeeeeeeeeeennnn! Ngoja tufunge na kuomba kuwaombea!Usijali mkuu, huyu wa kule kwetu kabisa, tutatafuta nafasi ya kuonana pale matejoo


Aimeeennnnn!!!hallelujah