Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Ni dada mtu mzima ama bado binti?Na anavopenda wanaume sasa!! Nahisi hapo alipo sijui ana hali gani
Kwenye burial service ya mama mkwe wake; wambea tulisema ana mimba, hata Ile loose dress yake ya bridal shower; ndiyo tukapiga tiki kabisa. Sasa zile corsets zake kwa kweli katufuruga wambea😁😁. Mungu akampe haja ya moyo wake.Halafu niliona kama ana mimba,nilivyoona ile tradition attire ina corset nikabaki njia panda..


Kwenye burial service ya mama mkwe wambea tulisema ana mimba, hata Ile loose dress yake ya bridal shower; ndiyo tukapiga tiki kabisa. Sasa zile corsets zake kwa kweli katufuruga wambea. Mungu akampe haja ya moyo wake.
View attachment 2195362


Ebu fanya kama unatoa assist ya fei toto kwa mayele nikateteme nae huyo🤣🤣🤣🤣🤣Na anavopenda wanaume sasa!! Nahisi hapo alipo sijui ana hali gani
Nawewe unanicheka..?Mtumishi wa Jehova![]()
KutokaHalafu umri ukienda tunasema ....
“Bora awe ana pumua tu”![]()


Nipo kitaa hiiOi oiii
Niajeee bablai?
Kipande hiki ni good tu, harakati vipi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 Ngoja nikukomekti upambane naeEbu fanya kama unatoa assist ya fei toto kwa mayele nikateteme nae huyo🤣🤣🤣🤣🤣
Utetezi wako umenifurahishaNawewe unanicheka..?
ChangamkaEbu fanya kama unatoa assist ya fei toto kwa mayele nikateteme nae huyo![]()

Kweli mlikuwa serious. Vijana wa kileo baada ya mimba wangekimbiakitambo sana...nilitaka kuolewa nilipomaliza form 6 ndugu wakakataa bado mdogo.... akasubiri huku tunaiba iba ila nikama nilikua nimeolewa nae tu kwani likizo zote za chuo muda mwingi nilikua naenda kwake ananihudumia kama mkewe Ndugu zake wanajua wangu wanajua.. 3rd year akanitundika mimba! Na tukafunga nae Ndoa rasmi 2016! Sasa tuna watoto wawili
Fanya hivyo mrembo ila hakikisha ana tako zuri linalovutia ata wewe mwanamke mwenzie kuliminya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 Ngoja nikukomekti nawe upambe nae
Muhimu kutega mabomu maeneo mbali mbali hujui lipi litazaa matunda.Changamka![]()
Kumbe ndio wa namna hiyo mnawapaga mbususu bureeeMdoli kweli aisee
Mwanume mzuri vile lips hizo
Body ile aisee
NdioKudate mwanaume kama Van inataka sana moyo, mwanaume mzuri kama mdoli.

