Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20220421_120037_816.jpg
 
Mtumishi Mimi kwa upande wangu; mabinti wengi ninaofahamiana nao na wapo above 30; wengi wamejikuta umri huo bilabila kwa sababu ya uvumilivu/loyalty yao. Walianza mahusiano high school na wengine vyuoni na hao maboyfriend wakiwa na matumaini ya kuja kuspend the rest of their lives pamoja. So hata walipotokea watu wengine wenye nia za kuwaoa; wao walikataa kwa sababu waliamini tayari wana mahusiano yao serious yatakayozaa ndoa. Wanaume walipoanza kusimama kiuchumi ndiyo wengi walianza kuonesha makucha yao and eventually waliishia kuwaacha Wanawake wao wa zamani; wakaoa mabinti wapya kwao.

Wanawake Mungu atusaidie tu kwa kweli; unakaa na mtu mkihustle miaka na miaka afu unakuja kuachwa solemba. Umri umeshaenda jamii inakusimanga, huku bado unaonekana ni malaya umetumika miaka mingi na ex wako. Ila pia ungemuacha huyo mwanaume wakati bado hajiwezi kiuchumi, ukaenda kuolewa kwingine; ungelaaniwa hadi makaburi ya kwenu teh. Sio tu Wanawake hatujui tunachotaka, hata wanaume hawajui pia wanachotaka. Na kiukweli wapo wanaume wengi tu ambao wameoa bado uchumi wao ukiwa unasuasua; ila bado comments za wanaume zitakufanya uhisi wote waliooa eana hela; hakuna wanaume waliooa ambao hawana hela.
Uchumba nao ukishakua sugu ndio utakuta vijana wanasema ni warm up. Poleni sana warembo, tunajua mnapiyia mengi sana.

IMG-20220421-WA0013.jpg
 
With such a big call; Mtumishi wa Mungu ilikuwaje akachagua mwanamke wa aina hiyo hata kama ke alifake kuwa mwema? Ila Watumishi nao wana mapito jamani, Mungu awasaidie
Kanisani anaenda..
Ukimkuta hautaweza kumdhania..

Unajua kanisani nako Kuna watu ambao si wa kanisani🙃
 
Mtumishi Mimi kwa upande wangu; mabinti wengi ninaofahamiana nao na wapo above 30; wengi wamejikuta umri huo bilabila kwa sababu ya uvumilivu/loyalty yao. Walianza mahusiano high school na wengine vyuoni na hao maboyfriend wakiwa na matumaini ya kuja kuspend the rest of their lives pamoja. So hata walipotokea watu wengine wenye nia za kuwaoa; wao walikataa kwa sababu waliamini tayari wana mahusiano yao serious yatakayozaa ndoa. Wanaume walipoanza kusimama kiuchumi ndiyo wengi walianza kuonesha makucha yao and eventually waliishia kuwaacha Wanawake wao wa zamani; wakaoa mabinti wapya kwao.

Wanawake Mungu atusaidie tu kwa kweli; unakaa na mtu mkihustle miaka na miaka afu unakuja kuachwa solemba. Umri umeshaenda jamii inakusimanga, huku bado unaonekana ni malaya umetumika miaka mingi na ex wako. Ila pia ungemuacha huyo mwanaume wakati bado hajiwezi kiuchumi, ukaenda kuolewa kwingine; ungelaaniwa hadi makaburi ya kwenu teh. Sio tu Wanawake hatujui tunachotaka, hata wanaume hawajui pia wanachotaka. Na kiukweli wapo wanaume wengi tu ambao wameoa bado uchumi wao ukiwa unasuasua; ila bado comments za wanaume zitakufanya uhisi wote waliooa eana hela; hakuna wanaume waliooa ambao hawana hela.
Jamii inapenda kulaumu tu lakini there’s a story behind ya mdada ambaye anaonekana amechelewa kuolewa.. tena story ya kuumiza..
Wanaume wanaambiana huko 97% hawaoi wadada waliosota nao 😀😀 sababu kibaooo
 
Back
Top Bottom