Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Umbea wa mr.selfikaNikute umbea
Na Mimi nakupa wa Mange![]()
nitapigwa mwenzakoWe bado mtotoMimi Wala huwa siulizwi jamani
Ndugu zangu ndo kabisaa ...yaani natreatiwa kama mtoto kiasi kwamba hadi nikiwa na mahusiano napata tabu
Mawasiliano tu changamoto,,,naogopaaaaaa .
Hata kule simuoni, atakua bize na masomo i guess.Kalilowea kwenye ule Uzi mwingine.
Kametugwaya humu.
Sasa kwa nini mrembo uteseke wakati mie nipo naweza kukupa tulizo la moyo na ukizingatia kama handsome boys ulishaenjoy nao vyakutosha...njoo utulie na sie sura za kazi🤣🤣🤣🤣🤣Khaa jaman![]()
Kwahiyo kagodauni kako kanakutia jeuri siyo?Nikiwa na makapu![]()
Afu nikiwaga godaun nakuwa jeuri, heri unikute mazingira mengine![]()

Haupigwi MwayaUmbea wa mr.selfikanitapigwa mwenzako


Thenki yu !!!Wanaume waoaji wapo, sema waolewaji vigezo mob. Tutapinga hadharani lakini ukweli ndio huo….
Kuna mtoto wa mtu hapa ananielewa mwenyewe, anasema fanya mpango tuhalalishe.. lakini mimi ndiyo naona kama he doesn’t fits kwenye vigezo vile si unajua![]()
Siwezi kumwambia kwamba hatuendani, naishia tu kumwambia I CANNOT MARRY MY COLLEAGUE.
Ukivuka 30 utakuja kutusimulia hapa jfWe bado mtoto
Sisi huku wa late 20s tuacheeee 🤣🤣
HeeeWe bado mtoto
Sisi huku wa late 20s tuacheeee![]()









Ndugu bado sijakutana na hizo mambo za kupata maswali ya kukera.
Nina dada tu ambaye kanambia dogo ukiolewa shela na gari juu yangu![]()
Nina baba mkubwa ye anaulizaga mkwe wetu yuko wapi, nacheka tu yanaisha. Ananiambia usinionee aibu mimi mambo ya kitanzania sina. .. yeye huyu amespend muda mwingi nje
ungekuwa na watoto wawili sasa duh .Ngoja nitafute hela za mahari maana naona kuna warembo wa kutosha humu 😊Huo mshangao unataka kusemaje mkuu!!🤔🤔😂!!
Sanaaaaa 🤣🤣🤣Kwahiyo kagodauni kako kanakutia jeuri siyo?![]()
Ooh yeahTikTok huwa naangalia comedy comedy za wachekeshaji
Nayo nimeijua juzi tubaada ya kuona watu wanatoa watsap status huko .
Ndiyo.Ooh yeah
Ni fun videos tu ...
Fanya hima tule wali siee!!Ngoja nitafute hela za mahari maana naona kuna warembo wa kutosha humu![]()
Miaka ya nyuma ni tofauti na sasa aisee.Ooh sawa ila wakiamua sasa
Yaani sisi kwetu ndugu wamechamaa hao
Juzi tu hapo wananiambia mama yako alilolewa akiwa 23 wewe sasa hivi una ngapiungekuwa na watoto wawili sasa duh .
DuhOoh sawa ila wakiamua sasa
Yaani sisi kwetu ndugu wamechamaa hao
Juzi tu hapo wananiambia mama yako alilolewa akiwa 23 wewe sasa hivi una ngapiungekuwa na watoto wawili sasa duh .
Itakuwa test zimekapambisha motoHata kule simuoni, atakua bize na masomo i guess.