Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe acha hizo bwana mwanamke mrembo na tabia nzuri hawezi kmwenkukosa mume in time. Tatizo lenu semeni ukweli kuna vijitabia ambavyo vinakinzana na uwezekano wa nyie kuwa wife
Wanaume waoaji wapo, sema waolewaji vigezo mob. Tutapinga hadharani lakini ukweli ndio huo….

Kuna mtoto wa mtu hapa ananielewa mwenyewe, anasema fanya mpango tuhalalishe.. lakini mimi ndiyo naona kama he doesn’t fits kwenye vigezo vile si unajua 🤣🤣
Siwezi kumwambia kwamba hatuendani, naishia tu kumwambia I CANNOT MARRY MY COLLEAGUE.
 
Mange ni chizi yule
Ndo maana nimemunfollow ..unawezaje kumshusha thamani mwenzio hivyo

Anha magroup huwa yanaleta info...mimi kwa sasa ndo nimepunguza kufuatilia umbeya ila bado nipo nipo .
Mimi sijawahi fuatilia umbea kabisa ila huwezi amini umbea wote naukutaga kwenye simu..hata IG Situmii.

Yaani madude yote yanayotrend huko huwa nayaona kitambo..unakuta baada yap siku 2 mara yameletwa huku.
 
Wewe umeoa?
Hapana sijaoa. Sijaonkwa sababu za ujinga wangu mwenyewe. Kuna mwanamke alikuwa very special kabisa na alinioenda ila tabia zangu za umalaya ndio zikanifanya niwe aingle eti oh am not a one woman guy...mpaka sasa 42 hii hapa sina mke.
So moral of the story is...mara nyingi ni tabia zetu wenyewe ndio zinatufanya tuwe single while waotupenda wanakuwepo walishapita maishani mwetu.
 
Wanaume waoaji wapo, sema waolewaji vigezo mob. Tutapinga hadharani lakini ukweli ndio huo….

Kuna mtoto wa mtu hapa ananielewa mwenyewe, anasema fanya mpango tuhalalishe.. lakini mimi ndiyo naona kama he doesn’t fits kwenye vigezo vile si unajua 🤣🤣
Siwezi kumwambia kwamba hatuendani, naishia tu kumwambia I CANNOT MARRY MY COLLEAGUE.
Asante kwa kuwa mkweli. So tatizo ni nyie wenyewe wanawake.
 
Kwa mujibu wake anasema video inahusu lulu akiwa kutafuta hela ya ujenzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Japo kuna muda mtu unachoka kunyamaza; ila nafikiri wanaoamuaga kutokumjibu Mange, sio kwamba wanamuogopa ila wanatunza tu heshima zao na za familia zao. Mange has nothing to lose, na hakuna kichambo au tusi jipya utakalompa akaumia. Ila wewe atakapoona ya kwako hayakuumizi atawadrag hadi wazazi/ndugu zako ambao hawana hatia; obviously itakuumiza sana kuona ndugu zako wanatukanwa bila sababu na hata kuaffect mahusiano nao. So unamuacha tu na ujinga wake, akimaliza kuongea yatapita tu, watu wanasahau mbona.
 
Wanaume waoaji wapo, sema waolewaji vigezo mob. Tutapinga hadharani lakini ukweli ndio huo….

Kuna mtoto wa mtu hapa ananielewa mwenyewe, anasema fanya mpango tuhalalishe.. lakini mimi ndiyo naona kama he doesn’t fits kwenye vigezo vile si unajua
Siwezi kumwambia kwamba hatuendani, naishia tu kumwambia I CANNOT MARRY MY COLLEAGUE.
Mweee mdogo wetu.

Punguza vigezo tule ubwabwa.
 
Japo kuna muda mtu unachoka kunyamaza; ila nafikiri wanaoamuaga kutokumjibu Mange, sio kwamba wanamuogopa ila wanatunza tu heshima zao na za familia zao. Mange has nothing to lose, na hakuna kichambo au tusi jipya utakalompa akaumia. Ila wewe atakapoona ya kwako hayakuumizi atawadrag hadi wazazi/ndugu zako ambao hawana hatia; obviously itakuumiza sana kuona ndugu zako wanatukanwa bila sababu na hata kuaffect mahusiano nao. So unamuacha tu na ujinga wake, akimaliza kuongea yatapita tu, watu wanasahau mbona.
Yaani ni ujinga sana kuanza kuingiza wazazi kwenye ujinga wao.

Tukaneni wenyewe mmalize,anaanza kuwatukana hadi wazazi kweli!
 
Wanaume waoaji wapo, sema waolewaji vigezo mob. Tutapinga hadharani lakini ukweli ndio huo….

Kuna mtoto wa mtu hapa ananielewa mwenyewe, anasema fanya mpango tuhalalishe.. lakini mimi ndiyo naona kama he doesn’t fits kwenye vigezo vile si unajua 🤣🤣
Siwezi kumwambia kwamba hatuendani, naishia tu kumwambia I CANNOT MARRY MY COLLEAGUE.
Hafit kwenye vigezo vyako vipi? Nawafahamu mabinti wengi decent na wapo tayari kwa ndoa, hawana hata vigezo visivyo na msingi na hawaolewi. Kuna makurubembe yanaolewa hadi unajiuliza hivi huyu mwanaume hajaona wanawake wengine kweli?

Ingawa wapo pia wanawake ambao kwa ufinyu wa akili zao na tamaa za kijinga wanakataa kuolewa; wakija kushtuka muda umeshayeya na hakuna ambaye yupo serious naye.
 
Mtafuta unique flower kama sikosei alisema hivyo.
Huyu Kelsea nae naona anasema bora apambane na wa mtaani kwake lakini sio sie
Yaan wewe hukunielewa, mpenzi anapatikana popote tu lkn muda wa kuingia love connect huo ndio sina zingatia hili. Nilishadate mtu humu tena nilimpata hapa hapa Selfika lkn tulianza kwa namna nyingine kabisa kabla hatujafikia kudate. Sijasema hamna wanaume wa kudate humu wapo sana ila ni uchaguzi tu nje ama ndani.
 
Mimi sijawahi fuatilia umbea kabisa ila huwezi amini umbea wote naukutaga kwenye simu..hata IG Situmii.

Yaani madude yote yanayotrend huko huwa nayaona kitambo..unakuta baada yap siku 2 mara yameletwa huku.

Ooh okay
Umbeya nayo ni hobby dear , kwa hiyo wewe ni Jf na WhatsApp tu ?
 
Hapana sijaoa. Sijaonkwa sababu za ujinga wangu mwenyewe. Kuna mwanamke alikuwa very special kabisa na alinioenda ila tabia zangu za umalaya ndio zikanifanya niwe aingle eti oh am not a one woman guy...mpaka sasa 42 hii hapa sina mke.
So moral of the story is...mara nyingi ni tabia zetu wenyewe ndio zinatufanya tuwe single while waotupenda wanakuwepo walishapita maishani mwetu.
Ooh pole
Sio mbaya
Nyie wanaume hata 45 hapo waweza kuoa binti mbichi kabisa .
 
Back
Top Bottom