Eeh kumbe jf mnadate kabisa🤣🤣🤣🤣 usiniambie....sasa ikawaje au ndio alikula mbususu na kusepa🤣🤣🤣🤣Yaan wewe hukunielewa, mpenzi anapatikana popote tu lkn muda wa kuingia love connect huo ndio sina zingatia hili. Nilishadate mtu humu tena nilimpata hapa hapa Selfika lkn tulianza kwa namna nyingine kabisa kabla hatujafikia kudate. Sijasema hamna wanaume wa kudate humu wapo sana ila ni uchaguzi tu nje ama ndani.



