Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
weeeeeeeehhh za kawaida sana mama mchungaji Acha Utani!!! Hiko kipindi Nilikoma !! Mtu unaanzishiwa nyuzi pipoz kama zote zinakunanga na kukuchamba juu plus bwana yupo huru anajiachia nakuutetea upande wa pili live live Huku watu wanaona wewewewewewewewe!!Aaah hizo ni nyuzi za kawaida sana. Mahusiano yenu yalikuwa public cc kama zote; all of a sudden cc zimepotea; kweli ulitegemea watu wasijiulize maswali? Nyuzi za hivyo zisikukoseshe amani; ni gharama tu ndogo ya mahusiano ya public; with time yatapita tu
Eti leo hii ......hiiiiiiiiiiiiii over my dead body!



