Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Pesaaaaaa!
Tena anahakikisha wanajuana kabisa!
Tufundishe watoto wetu wa kike kujitegemea na kutokua na tamaa.
yaani wanapangwa so sad, wazingatie tu afya.
Pesaaaaaa!
Tena anahakikisha wanajuana kabisa!
Huwa sisherehekei sikukuu yo yote mpendwa. Labda tu ya kifo changu kitakapotokea![]()
Ninachoona unajiingiza tu kwenye drama ambazo ungeweza kuziepuka tu, ukaendelea na ndoa yako kwa amani. Mlishaachana, humuhitaji; ila kutwa unaingizwa kwenye magomvi sijui unaanzishiwa threads za majungu (as you said); kwa nini wewe unaingizwa kwenye mambo yake na wakati wewe ni ex?
Kuachana sio ugomvi; ila I can imagine mume wangu awe na ex ambaye ni best friend ake forever. Aaaah thubutuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app

Possibly bwana shem atakuwa alipita hata kuona hilo huba lilivyokuwa limetaradadi. Hawezi kuniignoo JF completely
Asante ankal wangu😊😊Karibu mnoo.. Bon voyage ankal
Nikopeshe mimi tu sawaBinadamu ni kiumbe wa ajabu akiwa na shida anakuwa mdogo akitatua shida zake anageuka kulipa pesa..
Nimejuta moyo wangu wa kujitolea unanighalimu sana ila sasa dawa yao ndogo tu, no mkopo.
Cha ubishi umekomaa lo!!Shkamoo dada
Nipo tayari kula pilau![]()
Kama hivi vidole ni vyako…basi kwisha habari yako.Niko na picha yangu kichwani
Kichwa yako ni mbovu🤣🤣🤣Shkamoo mwalimuuuu
Naomba elfu 10 tukanunue kvant ya kupigia zoezi pale maabara ya bios
Tunachit-chat tu nkamu....ila ukifikiria kwa undani kifo tu ndiyo sherehe ya kweli - hata kama wahusika wakuu huwa hatushiriki (japo bado tunakuwepo)!Kwanini Shimba?
Kifo chako utasherekea vipi wakati utakua ni marehemu?
Tufundishe watoto wetu wa kike kujitegemea na kutokua na tamaa.
yaani wanapangwa so sad, wazingatie tu afya.
Mwanaume unakula ugali na kijiko? Au uko Dar mkuu?






Mkuu unachelewa kulala unawahi kuamka. Nini tatizo, wajukuu wanasumbua?Mwanaume unakula ugali na kijiko? Au uko Dar mkuu?![]()
Wanaolala mapema tumepitwa tenahahahaaa...... kabisa leo unetime vizuri!
Au mnataka nijipe uwanakamatji Kwa nguvu??nianze kuwapangia ratibaCha ubishi umekomaa lo!!
Mpka njiwa wangu apeperuke we nae![]()

Wanaolala mapema tumepitwa tena