Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hahahaaa..sio Mtu wa mitandao kiivo kweli nilitubu na kazi nikahamishwa nakupelekwa karibu na ukweni asee!
Oh kumbe
Kwahiyo unachukulia advantage yeye kutokuwa mtu wa mitandao kutaka kusolve Tena ishu zako na mzee wa miongozo?
Vipi ukifanya utatubu tena?
Rejea ulichosema pale juu kwamba mna mambo yenu ugomvi sijui Nini
 
Back
Top Bottom