Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaaa.... naselfika kama wengine......
halafu watu wanazipeleka picha zangu zahumu kwa mlebanoni 🤗🤗🤗🤗 sitaki kusema mengi ila we are not lovers kitambo sana tena sanaa!!
Sijaelewa hapa bosi ledi; ni kwamba picha zako zilipelekwa au ndiyo unawaza kwamba picha zilipelekwa kwa Mlebanoni?
 
Hahahaaa.... naselfika kama wengine......
halafu watu wanazipeleka picha zangu zahumu kwa mlebanoni 🤗🤗🤗🤗 sitaki kusema mengi ila we are not lovers kitambo sana tena sanaa!!
Kwa mfano akakubahatisha mara pap huyu hapa!

Kwahiyo alikusamehe?
Ulitumia mbinu gani kutubu aisee..
Naiomba na mimi aisee niitumie kwenye vijikosa vyangu vya rejareja..ninaamini itasovu haraka sana makosa madogo,maana kama hili la usaliti limeisha kwa mbili inamaana hii mbinu ya msamaha imeenda shule aisee
 
Kabisa.... nishatulia kitambo mimi ... Halafu Sitaki kutoa details za watu zitawachafua so wacha nibebe lawama hapa japo kuna mengi yaliyojificha msiyoyajua! I wish Ningekua na namna ya kuwaprove wrong kwa facts kabisa! ila sasa naanzaje!
Kwa kweli. Wanaume ikija kwetu ni no excuse ya kuchepuka.

Ashikilie ndoa yake, na heshima yake yeye binafsi pamoja na mumewe. Kila siku unahusishwa na drama za ex mchepuko; kwako binafsi tu sio heshima
 
Kwa mfano akakubahatisha mara pap huyu hapa!

Kwahiyo alikusamehe?
Ulitumia mbinu gani kutubu aisee..
Naiomba na mimi aisee niitumie kwenye vijikosa vyangu vya rejareja..ninaamini itasovu haraka sana makosa madogo,maana kama hili la usaliti limeisha kwa mbili inamaana hii mbinu ya msamaha imeenda shule aisee
Ndiwooooo! Saivi Nipo chini ya ulinzi
 
Kabisa.... nishatulia kitambo mimi ... Halafu Sitaki kutoa details za watu zitawachafua so wacha nibebe lawama hapa japo kuna mengi yaliyojificha msiyoyajua! I wish Ningekua na namna ya kuwaprove wrong kwa facts kabisa! ila sasa naanzaje!
Shusha facts mama mkemia wetu makini
 
Yani eti Namimi nijirudishe humohumo ???? ????!!!?? Nawashangaa sana mnaonituhumu
Boss ledi sisi hatujakutuhumu. Mimi binafsi maswali yangu yalibase kwako wewe kama wewe. Nimekuja tu kushangaa unalalamika unapigwa majungu sijui kuanzishiwa threads; ndiyo concern yangu ikaja hapo; kwa nini wewe uhusishwe na ex ilhali mmeshaachana na kila mtu ana 50 zake? Na kingine kilichotushangaza ni ya wewe kuwa na
u-best friend na ex wako. Ingawa mwisho wa siku haya ni maisha yako; lililo shindikana huku kwetu, kwako linawezekana likawa rahisi sanaaaa. To each his own
 
Back
Top Bottom