Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Tunachit-chat tu nkamu....ila ukifikiria kwa undani kifo tu ndiyo sherehe ya kweli - hata kama wahusika wakuu huwa hatushiriki (japo bado tunakuwepo)!
Ohoo sawa Nkamu nimekuelewa
Tunachit-chat tu nkamu....ila ukifikiria kwa undani kifo tu ndiyo sherehe ya kweli - hata kama wahusika wakuu huwa hatushiriki (japo bado tunakuwepo)!
Nadhani hasa ni suala la kujitambua na binti kujijua thamani pamoja na utu wake. Wapo mabinti ambao hata kama hajaweza kujitegemea huwezi kumtingisha hasa kama akijua kuwa lengo lako ni kumshushia tu thamani yake na kumdhalilisha utu wake. Mabinti kama hao, japo wanazidi kupungua kila kuchao, bado wapo na wanastahili heshima ya pekee sana...na ukimbahatisha inabidi ukomae naye sana maana kama na wewe mwanaume ukiwa na akili nzuri aisee mtafika mbali sana maishani!
View attachment 2192502

Kazi iendeleeeView attachment 2192557
Nilikuwa napitia mjadala wa jana usiku. Uko very strong, hongera sana boss ladyKazi iendeleeeView attachment 2192557
Shukrani sana mkuu!Nilikuwa napitia mjadala wa jana usiku. Uko very strong, hongera sana boss lady

miss u

mbavu zanguuMorning to my ppl
Selfikamiss u
Aisee she should keep that man at any cost...Watoto wengi wa mama wakwe walivyo mmmmmmh tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi.Mumeo muelewa sana..!
umemcheat na ukakiri na akakusamehe? hongera Mkuu
Mimi magunia sita naona yangenihusu![]()
Kumbe wengi mlikuwa mnajiuliza kinyakimya?😁😁😁😁😁Nkamu
mmetuwakilisha kwa kweli
Unaonaje ukatujibu tu sisi chawa wako 🥰🤗Good morning pipoz
Haya Tuendelee kuselfika! Najua nikianza kujibu au kutetea hoja ndio nitakua naamsha maswali mengine......!!!
Kama huyo Mwanaume ana mdogo wake hajaoa inabidi watupe aiseeAisee she should keep that man at any cost...Watoto wengi wa mama wakwe walivyo mmmmmmh tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi.
Sio vema kabisa namuheshimu sana mlebanoni . ila jueni tu you know nothing nothing at all.Unaonaje ukatujibu tu sisi chawa wako 🥰🤗
Maswali ya sasa hivi ni ya kawaida tu boss ledi wetu.Sio vema kabisa namuheshimu sana mlebanoni . ila jueni tu you know nothing nothing at all.
Tuendelee kuselfika tasavali
Aisee she should keep that man at any cost...Watoto wengi wa mama wakwe walivyo mmmmmmh tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi.

Maswali ya sasa hivi ni ya kawaida tu boss ledi wetu.
Si unajua Tena tunavyokupenda boss wetu...lazima tukuuswalike kidogo.
Vipi mlebanon hana mdogo wake wa kiume??




Ngoja aje boss wetu wa kimataifa.Mimi ni tomaso Nkamu , sijaamini hilo niwe mkweli![]()
Watu walivyo watakuwa wanapita wanasoma kimyakimya kama hawaoni vileKumbe wengi mlikuwa mnajiuliza kinyakimya?![]()


ila wewe![]()



