Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe hata opener hakuna dah! What am I gonna do with this cheap Chardonnay?

20220418_173101.jpg
 
Heee🙆
Kumbe!

Zile zilikuwa kamba,tunawataka Hadi kila la heri muoane mnasema Asante kumbe tulikuwa tunasubiri parachichi kwenye majani ya matikiti maji🤣


Kwahiyo huyo Mwamba alikuwa mchepuko kweli au mlikuwa mnachangamsha tu jukwaa kutukamata wambea akili?
Kitu kikiletwa chit chat si cha kuchukulia serious kamba ni asilimia 80
 
Jf Hayupo na nishamsimuliaga everything kuhusu jf ....! Everything nikatubu kabisa..
Kama ni kweli.....
Huoni kama kuna siku anaweza akaja akaingia JF out of curiosity? Afu imagine anakutana na comments zako like "mchepuko wako unahaha; you two are having an unfinished business etc. Na kama ulivyoongea huko kuhusu maugomvi sijui majungu kisa mchepuko wako hadi unaanzishiwa threads, it looks like bado unampambania mchepuko kutoka kwa wanawake wengine; is there any sane man/husband who can tolerate that? Mumeo ni hawahawa waume zetu wa kibongo ninaowafahamu au?
 
Back
Top Bottom