Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabisa.... nishatulia kitambo mimi ... Halafu Sitaki kutoa details za watu zitawachafua so wacha nibebe lawama hapa japo kuna mengi yaliyojificha msiyoyajua! I wish Ningekua na namna ya kuwaprove wrong kwa facts kabisa! ila sasa naanzaje!
Mimi binafsi ya hao wengine sitaki kuyajua unless siku nyie wote muamue kutujulisha then nitalala hapa nisipitwe aisee. Kama umetusoma vizuri; our main concern was your marriage, mengine yalikuwa nyongeza tu. Ahsante sana kwa muda wako bosi ledi
 
Kwa kweli Uzee na wenyewe changamoto, sijui wajukuu hapa wanasoga nini?

You guys are you okay?
Let's keep taking photos

Nakazia swaumu, manake si Kwa njaa hii 😋😋
IMG_20220418_123712_284.jpg
 
Boss ledi sisi hatujakutuhumu. Mimi binafsi maswali yangu yalibase kwako wewe kama wewe. Nimekuja tu kushangaa unalalamika unapigwa majungu sijui kuanzishiwa threads; ndiyo concern yangu ikaja hapo; kwa nini wewe uhusishwe na ex ilhali mmeshaachana na kila mtu ana 50 zake? Na kingine kilichotushangaza ni ya wewe kuwa na
u-best friend na ex wako. Ingawa mwisho wa siku haya ni maisha yako; lililo shindikana huku kwetu, kwako linawezekana likawa rahisi sanaaaa
Haaa mama mchungaji tangu cc zilipokoma humu nimeanzishiwa nyuzi sana mbona mara kuna nini Kati ya Mahondaw na September eleven Hayo madongo sasa!!! All is well im Happy now sina tabu namtu mie!
 
Mimi binafsi ya hao wengine sitaki kuyajua unless siku nyie wote muamue kutujulisha then nitalala hapa nisipitwe aisee. Kama umetusoma vizuri; our main concern was your marriage, mengine yalikuwa nyongeza tu. Ahsante sana kwa muda wako bosi ledi
Utalala hapahapa kabisa!

Sema siyo mbaya..
Getini pale Mbinguni atakuwepo mdogo wako kukupepea🤣🏃🏾‍♀️
 
Haaa mama mchungaji tangu cc zilipokoma humu nimeanzishiwa nyuzi sana mbona mara kuna nini Kati ya Mahondaw na September eleven Hayo madongo sasa!!! All is well im Happy now sina tabu namtu mie!
Aaah hizo ni nyuzi za kawaida sana. Mahusiano yenu yalikuwa public cc kama zote; all of a sudden cc zimepotea; kweli ulitegemea watu wasijiulize maswali? Nyuzi za hivyo zisikukoseshe amani; ni gharama tu ndogo ya mahusiano ya public; with time yatapita tu
 
Yalishapita ila nashangaa yameibukia wapi wakati hapa Kati hali ilikua shwari kabisa kila upande ulikua na furaha na amani teleeee.. ghaflaa tu yameibuka. something fishy !

Yameibukia wapi tena huko? Kama ni ya kuulizia kuhusu cc hayo yatakuwa yanakupwa na kujaa; kuna watu hadi leo hawajui kinachoendelea, so watauliza tu. Unless kuna mengine
 
Back
Top Bottom