Mpe kilevi mwenye shida anywe alewe asahau shida zake... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi yesheeNaona unataka kuanza kunipiga nyundo hapa
Anakuambia kashaanza kumuona baby mama wake wa kawaida hivyo kamkinahi
Ni wapi eti jamaniSiyo hao eti
Au wewe unasemaje mdogo wangu mzuri mzuriWacha we watu na techniques zenu za kijasusi
Make up yo mind, au unawataka wote?
Mimi huwa namuita mkuu mtu ambae ndio naongea nae kwa mara ya kwanza au yule ambae sitaki mazoea
anyway, ni mama watoto wangu amepost hizo picha muwe na amani. Na imani hakuna kilichoharibika ni utundu wake tu umemfikisha huku. Uzi umetendewa haki, na imani kuna wadada wazuri tu humu ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki JF sihami
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Khaaaa kweli au unamuingiza kingi tu jamaa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha...anyway jukwaa ni chitchat...it's all good!!!
Dah... Ok ila ngumu kumeza ujue.. Sio kwa mapicha yale... Mafisi na mamende ya JF ulishayadatisha[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Wewe anakuita nani eti jamani!!Nashangaa wewe unaitwa dada, na mimi sijamkosea chochote lakini hataki kunipa hadhi ya udada[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Nani amekutekeni mdogo wanguMimi ni 'tekeni' dada
Wewe ndio yule dada anaetekwa kwenye movie "taken" ya liam nesson??Mimi ni 'tekeni' dada
Yaaaniii!Hahaha...nimecheka sana dear...
Vile peeps walikuwa serious, kumbe jamaa anawazingua tu...
Sounds absolutely fantabulous!
You are my closest confidant friend.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msumeno ule...
Salama kabisa mkuu, hujambo mkuu?Mkuu kwema mkuu?