Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.Nimetoka zangu kuoga kurudi chumbani nakuta kuna missed call katika simu yangu ya mkononi katika kuifungua nikakuta ni new number. Nikataka kujua ni nani hasa alienipigia simu...nikaipiga ile namba kupitia application ya true caller katika kuita...