Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiku wote huu 😜 si ungewaambia walale


Wee siku hizi pamekuwa pazuriiii, kuna ghorofa inaangushwa pale, hizo garden humo ndani 🔥🔥 hao Suma JKT wako na hiyo kiherehere 1 🤣
IAA imekuwa ya moto kimazingira afu ni kama imetanuka 😂 siku hizi napaona pakubwaa afu wanafunzi shaziii
Hahahaa kulala ugenini ni kipaji.

Heee patakua pamebamba sana, May nitakua huko lazima niende hapo nikapate picha ya ukumbusho😂
Si utanisindikiza eeh
 
Picha day
Screenshot_20220413-035113_1.jpg
 
Akimwambia…Nihurumie mwanangu!, nihurumie mwanangu!, ikiwa ninastahili kweli kuitwa baba yako, ikiwa nimekupenda zaidi hata ya kaka zako, ikiwa nimekulea mpaka umefikia hatua hii ya heshima..basi nihurumie mimi baba yako..kubali kukataa tu wewe sio mkristo.

Maneno hayo yalisemwa na baba wa Mt. Perpetua, wakati Perpetua yupo gerezani akisubiri kuhukumiwa kifo. Lakini Mt. Perpetua na kijakazi wake Mt. …. Walikaza katika Imani yao ya Ukristo.

Mtakatifu somo wangu ‘ Mt F…… Mt. Perpetua na watakatifu wote mtuombee daima sisi tuliopata heri ya kuitwa majina yenu + wengine wote, tujithibitishie katika Imani, tuzidishiwe nguvu katika fadhila, tujikinge na vishawishi mwisho tuweze kumshinda adui mwovu ili tustahili Utukufu milele 🛐
 
Back
Top Bottom