Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sioshwi dhambi zangu
Bila damu yake Yesu
Hapendezewi Mungu
Bila damu yake Yesu

Sipati tumaini
Bila damu yake Yesu
Wema wala amani
Bila damu lake Yesu

Sipati patanishwa
Bila damu yake Yesu
Hukumu yanitisha
Bila damu yake Yesu

Twaimba utukufu
Una damu yake Yesu
Milele twaisufu
hiyo damu yake Yesu

Hakuna kabisa
Dawa ya makosa
Ya kututakasa
Ila damu yake Yesu
 
Back
Top Bottom