Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
SijaelewaAcha kukaza shingo
Hujaelewa nini
Ewe Mkurugenzi![]()
SijaelewaAcha kukaza shingo
Hujaelewa nini
Ewe Mkurugenzi![]()
Ngoja aje nkamu wetu wegman aweke balance.Aah hawajawafikia kaka zetu Bado![]()
ZinavutiaAnne tambi mbichi hizi zinapatikana mwezi huu ramadhani tu.. hapo nimeziweka binzari ya njano ili kuweka rangi na ladha nzuriView attachment 2187754


Ulisikia wapiKumbe kuna bila gauni la style ya Abiudi![]()



Ooh yeah nzuri ..Zinavutia![]()
Sijaelewa
Mimi labda nilizikuta kwenye mazingira machafu..nzi kibao🥺Ooh yeah nzuri ..
hapa nazidi kupenda hizi za kupima .
We wige
Bila bila ni nini?Ulisikia wapi
Unalala bila bila
Ukisubiria tatu mzuka![]()
SiSalamu Rabbi Salamu” anena Yuda mbaya Yuda mbaya Mwenye moyo wake mgumu ambusu pasi haya aliwaambia basi “Ntakaye mbusu ndiye mtwaeni na kwa upesi”
Happy Good Friday in Adv

Ooh kama ukiziona sehemu chafu lazima usizipende ..Mimi labda nilizikuta kwenye mazingira machafu..nzi kibao![]()
Msaliti sio mtu 🤣Si
Ndio mida hii
Jamaa anapiga tukio![]()
UnaishiMimi labda nilizikuta kwenye mazingira machafu..nzi kibao![]()

Niliona zimewekwa kwenye mfuko zinapigwa na nzi yaani😂Ooh kama ukiziona sehemu chafu lazima usizipende ..
Kwa sasa hizi zinapatikana nyingi sababu ya mfungo na wanuza kilo moja 2000 .
Kazi ninayo hakyananiSafi Meneja.
Endelea kububujika kwa Bwana.




Ya kwa mpalange wanaita😂Unaishi
Buza ipi![]()