Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pasipo makosa Mkombozi wetu,

Katika baraza ya wakosefu,

Na wote walia ‘asulibiwe’,

Aachwe Baraba na Yesu afe



2. Ee Yesu washika msalaba wako,

Na unakubali kufa juu yake,

Ee Yesu useme sababu gani,

Ya nini mateso makali haya?



3. Ni pendo kwa Bwana wa uwinguni,

Ni huruma yangu kwa wakosefu,

Ewe mkristu kumbuka mateso yangu,

Uache makosa, uache dhambi
 
Back
Top Bottom