Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiku wote huu [emoji12] si ungewaambia walale


Wee siku hizi pamekuwa pazuriiii, kuna ghorofa inaangushwa pale, hizo garden humo ndani [emoji91][emoji91] hao Suma JKT wako na hiyo kiherehere 1 [emoji1787]
IAA imekuwa ya moto kimazingira afu ni kama imetanuka [emoji23] siku hizi napaona pakubwaa afu wanafunzi shaziii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Good morning...

Screenshot_20220415-104350_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom