Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yan nisingetonywa hii ilikuwa ishanipita

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Samahani siombi, ila nitoe tu pole kwa wewe ku over judge!!
Picha zako nazoonaga hapa macho yangu yanaonaga kama mwarabu/ mpemba.
Ya jana ikawa tofauti ndio maana nikauliza wewe ni yule au ni huyu.

Baadae nikaona utapata shida kunielewa ndio maana nikafuta [emoji1787][emoji1787]

Pole but not sorry [emoji106]

acha ubabe uombi samahani sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi watu kama wewe ndiyo nawapenda sijui kwanini
 
Nyie huku ni kijijini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kuna hadi nyani
IMG_20220413_155232.jpg
IMG_20220413_155424.jpg
IMG_20220413_155252.jpg
IMG_20220413_154824_965.jpg
 
Back
Top Bottom