Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Inabidi tufanye Miss Selfika. Mshindi atapata zawadi nono[emoji4]
Utaota weweUsiniambie [emoji2960]
Huenda nikakurudia aisee..embu tuone[emoji23]
Thanks mrembo, I wish siku tuonane[emoji4]Enjoy[emoji4][emoji4]
Si bora hata yeye ameomba angalau[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kusema sorry..
Mimi Sina Cha sorry Wala ndugu yake sorry[emoji2096][emoji2096]
Thanks mrembo, I wish siku tuonane[emoji4]
Najali kama najua nimekosea,nimecheka sana na wala hujali, muache mtoto wa watu[emoji2]
Ipo siku itatokea upo nilipo[emoji4]Napatikana sasa?? kila siku nasafiri kama dereva wa mizigo.
TuoneUtaota wewe
Daah vijana wanakwama wapi kuchukua huyu mremboWaifu matirio tumemaliza kufua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2186230
Nipo kwangu tayari mchumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Daah vijana wanakwama wapi kuchukua huyu mrembo
Ebu nielekeze jinsi ya kufunga PMTuone
Upo kwako vp?umeolewa lini?Nipo kwangu tayari mchumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Namaliza naingia ndani kijana ameharibu Bomba..maji yamejaa nyumba nzima.
Wanawake tumeumbwa mateso matesoo kuhangaika.
Nipe kwanza picha ndo ntakuelekezaEbu nielekeze jinsi ya kufunga PM
Waifu matirio tumemaliza kufua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2186230
Hadi nina mtoto[emoji2]Upo kwako vp?umeolewa lini?
Unapenda kuona vitu vya ajabuNipe kwanza picha ndo ntakuelekeza
Nimekasirika sasa naanza kudai[emoji2]
Najali kama najua nimekosea,
Kama sijakosea aisee utajijua mwenyewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
[emoji23][emoji23][emoji23]soon tunaozesha[emoji3]