Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui leo yupo chimbo gan, sijui bonyokwa, sinia la chakula lina kutu, meza sasa ile ya buchan ya kukatia nyama ina afadhar, mazingira hovyooooo tyuuh, [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ila sasa akiwa na mchuchu maeneo yake hayoo, selfika inatikisika woiiiiiiiiih
Heee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lekchara wako ameanza lini mambo ya uswahilini[emoji134]
 
Back
Top Bottom