Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooh okay nimekumbuka siku ya kwanza kuingia mule nilingia kwa woga ... nilikuwa kafupi ikabidi niingie na mbaba mmoja hivi pale getini hata simfahamu namfuata nyuma tu .

Ila una sehemu zako za mitoko ..

Kiukweli Jah alininyima kabisaa mambo ya starehe. Mie nikitoka chuo n home, yaan nikitoka labda sokon au dukan kununua vitu na kurudi home.

Ndo maan niko humu JF active, ndo starehe yangu, kuzurura mitandaon. Yaan cm angu ikiwa na bundle, bas maisha nimemaliza.
 
Maisha ndivyo yalivyo binti. Usituone hata tunaojifaragua humu. Tuna mengi tu tunayohangaika nayo. Cha muhimu ni kutokata tamaa mpaka kieleweke. Endelea kupambana binti. Nakuaminia...na ukipotea tena nitakuwa nakuulizia hapa hapa jinsi unavyoendelea.
Tumekubaliana hakuna kukata tamaa
 
Kiukweli Jah alininyima kabisaa mambo ya starehe. Mie nikitoka chuo n home, yaan nikitoka labda sokon au dukan kununua vitu na kurudi home.

Ndo maan niko humu JF active, ndo starehe yangu, kuzurura mitandaon. Yaan cm angu ikiwa na bundle, bas maisha nimemaliza.

Ooh okay kumbe hupendi mitoko
Inaweza isiwe sehemu ya starehe unaweza enda sehemu for lunch au shopping hivi.

Internet imetusaidia sana .. unabaki zako tu na simu yako nyumbani .
 
Back
Top Bottom